TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,808
- 9,058
NANI ZAIDI, JE NI YULE WA ''JELA YA ULAYA" AU HUYU WA "MATIBABU YA ULAYA"?
Tuendelee kujifunza,......
huyu pichani ni Pierre Jaques Bemba, Huyu ndugu yetu wa Ki-Afrika alikaa nje Ulaya muda mrefu eti kwamba ana kesi huko the Hague.(ICC), tukaambiwa yupo Jela....Uchaguzi Mkuu Wa Congo ulivyokaribia akaachiwa na ICC hiyo hiyo eti kwamba hana hatia yoyote ile.
Na ndivyo ilivyo...Pierre Bemba akatangaza kurejea Congo DRC akitokea Ubeligiji alipokuwa amehifadhiwa yeye na Familia yake.. tena akatua Congo na ndege Binafsi ya Kukodi huku akiwa na lundo la Mabodigadi wa kizungu alioambatana nao toka Ubeligiji..Bemba akatangaza Rasmi kugombea Urais Wa Nchi hiyo kupitia Muungano Wa Vyama vya Upinzani,.. Na ikumbukwe Bemba Kabla ya kutiwa hatiani huko Ulaya aliwahi kuwa Kiongozi Wa Waasi nchini Congo.
Lakini Baada ya kurejea Nchini Congo na kuchukua Form ya kugombea Uraisi Tume ya Uchaguzi Nchini humo iliengua Jina la Pierre Bemba kwa Madai kwamba ni Mahalifu anayehusika na Rushwa, na alihonga Mashahidi ICC
Bemba hakukata tamaa alikata Rufaa kupinga kuenguliwa kwenye Kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa Urais nchini Congo DRC lakini kwa Mara nyingine akajikuta akiangukia Komwe mara baada ya Mahakama ya juu kabisa ya kikatiba huko DRC Kusema kwamba kiongozi huyo wa upinzani anayeishi Uhamishoni Ubeligiji hana sifa ya kuwa rais katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Na baada ya Jina la Bemba kugonga Mwamba na kukataliwa kupitishwa na Tume ya Uchaguzi huko Congo DRC Ghafla tena ICC ikamdaka Bemba na inamrudisha Jela Ulaya na ikamuhukumu kifungo cha Miezi 12 Jela na faini Dollar 350,000 huku ikisema kwamba Bemba ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Nchini Congo (DRC) amekutwa na Hatia ya kuhonga Mashahidi katika Kesi ya jinai ya Uhalifu wa kivita iliyokuwa inamkabili Mahakamani hapo...hapa sasa ndio vituko vya ICC na Wazungu, hivi angepitishwa kugombea Wangemdaka tena?
#Note :Huko Ubeligiji ndipo yalipo Makao Makuu ya Umoja wa Ulaya, hapo ndipo hupitishwa Sera zote juu ya Ulaya...Sera zote juu ya Mipango yao kwa afrika....Kifupi Bemba aliiva katika Mafunzo huko Ubeligiji chini ya Kivuli cha "JELA ULAYA" na karejeshwa Congo akiwa ameiva tena karibia na Uchaguzi,..lakini akashtukiwa...k
eep in mind, huyu wa kwetu hapa aliye Mafunzoni Ubeligiji chini ya Kivuli cha "MATIBABU ULAYA" tunaambiwa kwamba kupona na kurudi kwake hapa pia kutaendana na Ratiba ya kukaribiana na Uchaguzi wa 2020, kwamba atakuwa amepona tukio la Risasi 38 kwa operation 21 zilizofanyika ndani ya miezi minne....
Tuendelee Kugonga Mtori......mimi sio mnazi saana wa siasa ila nimewawashia indicator tu..
Naipenda nchi yangu sitaki iwe pango la mabepari kama DRC CONGO
Sent using Jamii Forums mobile app