Nani Zaidi: Jack Bauer au Jason Bourne?

Filamu za JB ndio mimi huzipenda na ni za akili nyingi kuliko za Jack B

mkuu jason bourne ni kama roboti - ni mashine ile imetengenezwa kupitia operesheni treadstone, jack bauer anachanganya akili zake mwenyewe baada ya kufundwa ujasusi.
 
Hv Jason Bourne wa jf yupo wapi or washamwakyembe? Namic vitu vyake humu kutoka jkn pale magogoni
 
vipi kuhusu pelican brief?


Napenda Pelican brief nimemsoma Grisham na nimeangalia the movie too, Ukitaka kujua I enjoyed, jua nampena Julia Roberts na nampenda Denzel.... Na more importantly napenda he ending of the book, na ile ambayo inabaki katika jamii... Hawaamini kabisa kuwa the lady is alive or exists at all!! In this case nilipenda the movie, walifanya justice thou tuliwahi bishana na a fellow member kama sikosei ni VoiceOfReason, ambae aliona the book ilikuwa bora zaidi. What is your opinion on "Pelican Brief"?
 
Last edited by a moderator:
Napenda Pelican brief nimemsoma Grisham na nimeangalia the movie too, Ukitaka kujua I enjoyed, jua nampena Julia Roberts na nampenda Denzel.... Na more importantly napenda he ending of the book, na ile ambayo inabaki katika jamii... Hawaamini kabisa kuwa the lady is alive or exists at all!! In this case nilipenda the movie, walifanya justice thou tuliwahi bishana na a fellow member kama sikosei ni VoiceOfReason, ambae aliona the book ilikuwa bora zaidi. What is your opinion on "Pelican Brief"?

sikumbuki details, i just remembered the feelings i got
 
Utayarishaji wa series za Jack Bauer umejaa special effects wakati ule wa series za Jason Bourne umejaa uhalisia. Hapo ndipo tofauti kati ya hawa wawili inapoanza kujitokeza,

Kweli nimeamini watu tunaangalia na kupokea mambo from defferent angle.

Wote ni wakali na wameuvaa uhusika wao vilivyo, kwa maoni yangu nampa jack credit zaidi kwa kuact kama binadamu halisi tofauti na bourne anayeact kama robot
 
Kudos to Jack Bauer, he acted well in 24 hrs, still one of my greatest series ever watched HOWEVER no doubt Jason Bourne, given the opportunity to act 24 hrs would have done a better job.Though 24 hrs was a catch Jason Bourne is better than Jack Bauer, nasema hivi kwa sababu, nalinganisha na movies zingine kama " A time to kill" for Keifer Sunderland.

What about "The Shepherd" , "The Adjustment Bureau", "The Departed", "Green Zone", "Syriana", one of my favourate in South African setting's "Invictus" and in "Saving Private Ryan" didnt you feel weird when the American soldier was stabbed to death by a German soldier while his comrade stood still with fear, great mood build up, eeenh!! Yes that is Jason Bourne you can watch any of these movies later on let alone "Oceans's 11,12 & 13" and agree, the guy does a good job.
 
I have seen all films by Jason Bourne (Matt Damon) and all films by Jack Bauer (Kiefer Sutherland) i didn't really think he will become such a big actor though he was not that bad but in recent years from his series 24(2001),The Confession(2011) and now the drama Touch ( 2012) he has really step up in a new platform , it is said in his 2006 contract was paid salary of $40 million for three seasons of the show made him the highest-earning actor on television. For me 24 is not only the best series but it's the only series which kept me in the seat age the whole day. Awards wise 24 have won more awards than the Bourne , in their last season 8 of 24 series it became the longest-running espionage-themed television drama ever. Matt Damon in recent years he sucks when it come to drama Invictus(2009) is the only movie which did well which did, rest were flops like Hereafter (2010), Green Zone(2010). The Adjustment Bureau(2011) and the Contagion (2011). kweli i don't know why do people consider him a better actor. The new series Touch Kiefer Sutherland as prove is not only good in action series but is also good in drama a. if they put Matt in 24 am sure he could not perform as Kiefer, really guys if u did watch 24 it can't get better than that ata uweke malaika , the series has won more awards in the last ten eyes than any series . i can't see Matt Damon beating Kiefer Sutherland nor do I see t The Bourner series better than 24 series . i will pick Jack Bauer anytime of the day any day of the year

jack-bauer.jpg
 
Kuna nini hapa?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hao wote ni member hapa jukwaani au unzakusudia wahusika original?

Hebu nipe siries ya bourne kwanza hata kwa majins ili niweze kuziona alafu ndo nije kuchangia, bauer nimeona 24,touch na cross pia kama utakuwa unamlinganisha bauer na bourne kwa kuangalia movies zake za 1:30hrs movie utakuwa unamkosea sana bauer, unless kuwe na series za bourne ndo niwalinganishe.....pia tambua wakati wa kutafuta nani awe main character wa 24, kati ya washiriki bourne alikuwa mmoja wao, ns keif southend (bauer) alishinda so na wakati huo bauer hakuwa mtu maarufu katika movies kulinganisha na bourne so. My take kwa kulinganisha bauer na bourne kwa kutumia siries(bauer) na movie(bourne) sidhani kama mnatenda haki kwa bauer....unless nipe siries ya bourne kwanza, just a name lakini sio kwa movies zake
 
Jason bourne..au David Web mie ndio namkubali...from treadstone..blackbraul...identity.ultmutum..supremacy hadi lagacy..ingawa kwenye legacy sio matt damon. AshaDii@Campanero

bauer kwenye 24 sawa...ila hafiki kwa bourne..wangu mtazamo
 
Last edited by a moderator:
Jason bourne..au David Web mie ndio namkubali...from treadstone..blackbraul...identity.ultmutum..supremacy hadi lagacy..ingawa kwenye legacy sio matt damon. AshaDii@Campanero

bauer kwenye 24 sawa...ila hafiki kwa bourne..wangu mtazamo
 
Last edited by a moderator:
bauer ni zaidi ya jason bourne, ni zaidi ya aaron cross (legacy) nampenda zaidi Aaron Cross kuliko Jason Bourne kwa sababu Aaron Cross ni mtu wa mishe mishe sana, muvie zake zina mshike mshike mwanzo hadi mwisho huchoki kutizama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom