Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Naona mchuano haukupata mshindi.
Ndiyo huyo, the Bourne Sequel na Jason Bourne.jason bourne ni yule wa the supremacy au?
Mimi nabisha nakuoanaje unipatie CDs za hao jamaaNdugu yangu, kwa kurejea series za tamthilia hizi mbili, utaona kuwa Jack Bauer anapambana na ugaidi akiwa polisi mpelelezi wa kupambana na ugaidi (Counter Terrorist detective) wa FBI wakati Jason Bourne ni mpelelezi / shushu wa CIA ambaye ni mtaalamu wa kuua na kupotezea. Utayarishaji wa series za Jack Bauer umejaa special effects wakati ule wa series za Jason Bourne umejaa uhalisia. Hapo ndipo tofauti kati ya hawa wawili inapoanza kujitokeza, kama wabisha ni PM tuonane nikupe CD za hawa wakali wawili uangalie ubaini tofauti. Asante