Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,643
😀😀😀 short and clear, kwamba kama anapewa sifa kwenye mafanikio apewe na lawama kwenye majanga pia.Mwanamke
umeamua uichape kama ilivyo mkuuMwanamke
😀😀😀😀😀Watasema ni Pombe
uoga na uvivu wako binafsi ndio umaskini wako, lakini pia ndicho kinachokufanya uwe hivyo ulivyo sasa,Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa.
If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame alone right? Not a woman. But the moment a man chooses to go extra miles, drill himself, deprive himself of temporary fun just to focus on his growth, a woman suddenly becomes the one behind his success.
Kila siku mtandaoni na mitaani tunaona wanaume wanakutana na mabalaa kibao. Wengine ni ombaomba, wengine wanaiba wanakamatwa na kuchomwa moto. Hatujawahi kusikia mwanamke akifungamanishwa na hawa wanaume lakini mwanaume akitoboa ndio unasikia "mwanamke kaleta baraka"
Tumpe mwanaume pongezi zake yeye mwenyewe binafsi. Mwanaume ndie anastahili pongezi kwa kazi yake, yeye ndie amefanikisha kila kitu sio mwanamke ambaye angeona hakuna dalili ya mafanikio asingesogea hata karibu.
He did it himself, he made something from nothing. So let us cherish him himself.
Mafanikio ya Mtu ni mtu mwenyewe na Mungu wake.
Hizo zingine ni Porojo
Ni kweli mkuu ni ngumu sana kumpata masikini makini na mwaminifu. Mwanzoni ataonyesha dalili njema lakni uko mbeleni atarudi kwenye uhalisia.Wanaume weusi ni wadhaifu mbele ya wanawake.
Nasema hivi kwakuwa My father alioa akiwa na miaka 32 alikuwa ameajiriwa katika hotel kubwa
By that time
Alikuwa anapata faida kupitia mambo 03
-Kuuza dollars kwakuwa alikuwa anapokea Sana wazungu
-kupata vyakula kwakuwa alikuwa anahusika katika manunuzi
Mshahara haukuwa mkubwa
Kosa alilolifanya ni kuoa mwanamk kutoka familia masikini
Baada ya kumuoa
Akanunua Nyumba
Akanunua Gari
Akanunua mashamba.
Ila hauwezi kuamini mwanamke aliyetoka katika maadili ya dini akawa anakunywa pombe , vurugu .
Pamoja kwamba Mama yangu alikuwa ni first born Ila alipoteza focus ya maisha na kusahau umasikini mkubwa aliouacha nyumbani kwao.
Akafunguliwa duka kubwa Sana la Vipodozi Ila hakawa anamruhusu kila mtu kuuza mwisho likafungwa.
Kufupisha story Mimi mzee wangu father hatumii pombe , wala aina yoyote ya kilevi ni humble guy .
Kwa akili kubwa yenye utulivu aliyonayo mzee wangu Kama angepata smart woman maana yake angekuwa moja wa watu wenye mafanikio makubwa.
Funzo
Mwanamke masikini usimuoe kwa kumuonea huruma .
Hii nimejifunza kwakuwa Mimi mzee wangu anatoka familia bora Ila alienda kuoa katika broke family kitu ambacho kilikuwa sio sahihi .
Ila Leo hii nimeona stigma kubwa anafanyiwa mzee wangu kuwa yeye ajahusika na hayo mafanikio madogo aliyonayo ahaaa kid.
So all in God is good

Mara nyingi inakua hivyo nyuma ya mafanikio ya mwanaume ukiondoa juhud, focus na subira kunakua na ndugu zake au washkaji zake. Mwanamke anajipachika baadae sana akiona kuna matumaini mema.nachojua kwa akili yangu kubwa nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume ujue kuna washikaji..na nyuma ya kufeli kwa mwanaume yeyote ujue kuna mwanamke...nina washikaji kibao wamefeli maisha baada ya kuoa
Mwanamke Kama haupo imara anaweza kukutoa mchezoni mapema hasa ukiwa haujitambui
HakikaKwenye mafanikio mwanamke mara nyingi ni Liability au resistance
Mbona kama umepotea njia. Una uhakika umecomment kwenye mada uliyokusudia?uoga na uvivu wako binafsi ndio umaskini wako, lakini pia ndicho kinachokufanya uwe hivyo ulivyo sasa,
hakuna kisingizio, badilika na ubadili mienendo yako
Niko single dada alafu nimeajiriwa na mkopo wa nmb unaisha kesho hivyo naanza kupokea mshahara wangu wote.Nobody, most likely ni kukosa maarifa au uzembe.
Phrase ya "behind every succesfull man there is a woman" ina chimbuko lake linalotokana na patriarchal structures, na siyo kumpa credit mwanamke ambaye kihistoria hakua na sauti wala haki yoyote kwenye mafanikio ya mwanaume.
Binafsi I prefer "Behind every successful person, there is a person."