Bunge limewekwa chini ya Serikali, Serikali imewekwa chini ya Serikali ya Rwanda..
Wakuu Wa idara zetu za ulinzi na usalama wamekuwa waoga.. Wastaafu wamekuwa waoga kupita maelezo.
Ila lawama zote namtupia Kikwete kwa kutufanyoa haya..
Kikwete Do something Mkuu
Hahahaa! Leo mnataka mliyemwita "Dhaifu" afanyekitu??...kweli vyuma vimekaza.