Kiteitei JF-Expert Member Joined Jan 14, 2009 Posts 1,600 Reaction score 1,575 Sep 18, 2014 #41 Mnatusumbua jamani!! Tumelalaaaaa
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,326 Reaction score 35,853 Sep 18, 2014 #42 Huo uzi unaosema kuanzisha hauonekani. Wacha niandike tu hapa
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Sep 18, 2014 #43 primking said: Sread????kama cjaelewa vile Click to expand... Ndo maana yake changanya na za kwaKo
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Sep 18, 2014 #44 LEGE said: hahaha unatoa nn?? mm nipo albam Click to expand... Yap ndo hivyooo
M Magurudumu JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,748 Reaction score 493 Sep 18, 2014 #45 tabibumtaratibu said: hiyo ndo habari mkuu, wanaogopa waije wakaoa kumbe mtu hazai, wanatest mapemaaa.. Click to expand... Wabongo bana, wengine huku jf wanasema watoto sio lazima bali mali ndio mpango mzima huku wengine wanasema wanatest ili kuona kama demu anazaa. Kaaaa! Mimi naungana na wanaopenda watoto.
tabibumtaratibu said: hiyo ndo habari mkuu, wanaogopa waije wakaoa kumbe mtu hazai, wanatest mapemaaa.. Click to expand... Wabongo bana, wengine huku jf wanasema watoto sio lazima bali mali ndio mpango mzima huku wengine wanasema wanatest ili kuona kama demu anazaa. Kaaaa! Mimi naungana na wanaopenda watoto.