St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Nataka tu tupige stori..
Leta hzo stori,
Subiri saa 12 asubuhi nikiamka maana saa hizi nimelala na ninaota ndoto kuna mtu anapanga mauwaji ya nzige wanaomaliza mazao
Naomba hapo kwenye jina la Konjesta uweke jina L Lucy ndipo tutaelewana...
wivu sitaki
Kumbe kupotea kote huko ulikua unarekebisha maandalizi ya kudozi pasipo na kyupi....??
Umeamka baba,ninajitayarisha kuingia Lindoni ila subiri harusi kaka...........
Umeamka baba,ninajitayarisha kuingia Lindoni ila subiri harusi kaka...........
Naam kaka ngoja niandae kitani safiii kwa ajili ya huo mnuso
Kwema Mkuu!?
Kwema kaka, habari ya Kiding'a?