Nani yuko tayari kufanya kazi na mimi??

Nani yuko tayari kufanya kazi na mimi??

Ambele Ml

Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
10
Reaction score
4
Hellow wadau!
Mimi ni mtaalam wa masuala ya video editing na videography kwa kutumia Adobe after effect + Premiere pro + Photoshop lakini sina mtaji wa kupata camera na kuwa na studio!
So kwa MTU yeyote aliye na mtaji na yuko tayari kufanya kazi na Mimi anicheki kwa 0767816541 ili tufanye kazi.
 
Tuma samples kwenye Youtube account na utume links hapa tupime uwezo
 
Mkuu anza kwa kupiga picha watu na kuwaeditia either bure au kwa gharama nafuu pia tengeneza lebo utakayokuwa una attach kwenye post za picha kwenye account yako. Hayo mengine yatakuja yenyewe anza na jamii inayokuzunguka hapo ulipo.
 
Hellow wadau!
Mimi ni mtaalam wa masuala ya video editing na videography kwa kutumia Adobe after effect + Premiere pro + Photoshop lakini sina mtaji wa kupata camera na kuwa na studio!
So kwa MTU yeyote aliye na mtaji na yuko tayari kufanya kazi na Mimi anicheki kwa 0767816541 ili tufanye kazi.
Nitengenezee sample kama hii kisha tuongee biashara.
 
kama unaweza kucheza na green back ground tunaweza ongea .
 
Back
Top Bottom