Wanawake wa zamani walikuwa tegemezi lakini wana heshima...Hawa wa siku hizi ni tegemezi lakini wana jeuri/viburi
Teh teh..Yeah wapo wanaolelewa...Ila hiyo ni asilimia ndogo..Na wanaume wazamani walikuwa sio tegemezi kwa wanawake tena walionyesha ujogoo haswa wa siku hizi wanalelewa kabisa kama mabinti.
Na wanaume wazamani walikuwa sio tegemezi kwa wanawake tena walionyesha ujogoo haswa wa siku hizi wanalelewa kabisa kama mabinti.