Nani Waziri wa kwanza atafungwa kwa ufisadi Tanzania?

Ila kwa yote ya ufisadi yanayoendelea Tz. lazima ccm ijitathmini sana na kuangalia mwenendo ilikotoka na inakokwenda kwani yenyewe ndio chanzo kikuu cha yote haya.
 
Hata tukiwalaumu hao wazungu kwa kutuibia rasilimali zetu?Swali la kujiuliza ni nani ambao wanaingia n'a kuandika nao hyo mikataba mibovu n'a hao wawekezaji!
Jibu ni hao viongozi wa nchi hii ndy wakuwalaumu

Ova
 
Hawa ni mchwa hatari, usitegemee kupata majibu zaidi utageuziwa kibao na kuitwa msaliti, ugambani kwao nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi.
 
Kuuliza si ujinga jamani:

Je, Kupiga kelele na ripoti za makanikia bila kuondoa kinga ya kikatiba inayowalinda waliosababisha ufisadi huo si kucheza na akili za washangiliaji?

Aliyehongwa alimasi hakutajwa kwa sababu anakinga je tutamwadhibu nan hapo?
toka tuanze kelele za makanikia ni nani waziri/mwanasheria au mhusika kusaini aliyeshitakiwa na kufungwa wala kuhojiwa?je sababu haiwezi kuwa alitumwa kwa msg na bos anaelindwa na katiba?

Kama tuna uhakika na ripoti zetu kuwa wathungu wametuibia na wamedanganya kwann tusiwapeleke mahakaman tuwafilisi badla ya kuendelea kusubili hisani ya mazungumtho kwan kudanganya ni sawa na kutengua mkataba?

Je, kupambana na upinzani na kukandamiza demokrasia nje ya matakwa ya katiba ndio njia sahihi ya kupambana na ufisadi na kuleta maendeleo???

Uzalendo ni kuleta katiba mpya itakayo ondoa kinga kwa watakaoharibu je katiba tutapata?

Je, kuua Tundu lisu ndio kulinda raslimali za nchi?kwan lisu ndiye aliyesababisha sheria za kitapeli na mikataba ya kitapeli?je lisu ndiye aliyeitikia ndioooooooooooooooookwenye sheria mbovu bungeni??Je lisu ndiye aliye saini na kutuambia ni maendeleo???

Je, wakati watu wa mageuzi wanahangaika kutetea raslimali za nchi yetu ,,wakaswekwa rumande wakatishiwa ccm haikujua inachokifanya ni makosa???Je inajuaje kuwa sasa hiki inachokifanya sio kuligarimu taifa kama sheria hazitafuatwa?yaani kuibiwa tuibiwe sisi na fidia tuwape?

Je, ikiwa siasa za mauaji zitaendelea bila watu kuzipinga taifa litaelekea wap?

Je, kipi bora siasa za kushindana kwa hoja VS siasa za mauaji?

Je, mchango wa lisu ktk taifa hauonekani,,ikiwa juzi aliongea bungeni na kueleza jins mkataba ule wa kimataifa utakavyo tengua sheria zetu tulizotunga kwa mbwembwe na bunge la dharula mwez july?

Agizo lile la kuwafukuza bungeni wabunge wa mageuzi na kusema wakija huku nje atadili nao kwa njia anazozijua yeye je hiki sio kiashiria cha kubaka demokrasia? na je hiyo hatutakuwa kama siasa za rwanda na burundi kutaka kushamiri nchin??yaani sielewi hapo kuuliza sio ujinga

Kama kudili nao ni kwa namna hiyo ya lisu je mambo yataenda kwel?....

BINAFSI NAWACHUKIA SANA WEZI WA TAIFA HILI HASA HAWA WAZUNGU WAMETUPIGA VYA KUTOSHA KWA KUTUMIA UDHAIFU WA SHERIA ZETU NA MIKATABA MIBOVU..ningependa tuwataifishe kwa kuwa wamekiuka hiyohiyo mikataba mibovu kwa kudanganya kiasi kilichopo..na ningependa hata tuwapeleke mahakamani tuoneshe walivyodanganya na tupate tiket ya kuwataifisha migodi tuiendeshe wenyewe kiprivate chini ya usimamiz wa serikali yetu tukufu::

Jamani Mungu huyu hupenda ukweli na ukweli ndio utaliweka huru taifa kama tutaficha ukweli taifa likiangamia sote ni wahanga..bora ukweli tuuweke hewani mapema kabla mambo hayajaharibika ili wahusika wa siasa za kuua wajikosoe mapema.

Hivi kweli leo taifa ni la kuua lisu?Lisu kapambana na wizi wa mikataba michafu na sheria za kulitapeli taifa zilizokuwa zinalazimishwa na ccm miaka 20 yote ...lisu aliteswa kwa sababu hiyo ya kutetea raslimali zetu ..akaitwa majina mengi aliitwa mpinga maendeleo,,,aliitwa mropokaji.,,,aliitwa msaliti wa taifa,,,aliitwa sio mzalendo..aliswekwa rumande kila wakat

Jamani mikataba hii na sheria hizi zinazotutesa leo mpaka tunasubili mazungumzo ndio yatuokoe badala ya kuwashtaki wametuibia ,,hizi ziliingiwa na ccm wala sio Lisu lkn risasi apigwe lisu Jaman?Damu isiyo na hatia Mungu ameiokoa kupotea ameishi kutoka Risasi 32 za kivita mwilini mwake!!!!!

Watanzania tukiruhusu siasa za mauaji tanzania tumekwisha !kila mpenda tanzania alaani kitendo hiki ..hawa wanaojiita wasiojulikana walaaniwe mfyuuuuuuuu!

Niliposikia siku hiyo hiyo nikanunua kiberiti na kuchoma moto kadi yangu ya ccm kamwe siungi mkono siasa za mauaji natetea siasa za kushindana kwa hoja!!!!

NB: Nachukia wezi wa taifa hili lkn zaidi nachukia siasa za kuuana!
umemaliza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.natamani kila kijana mwenye ufahamu afahamu haya!
Nataka kuamini kama kweli huyu rais amedhamiria kupambana na mafisadi majangili,wahujumu uchumi n.k,angemalizia tu kutuletea katiba ile ya wananchi kupitia Warioba bila kubadili chochote kwani atakua amewathamini watanzania na hayo mabilioni yaliotumika kuanzia mchakato hadi kupata hiyo rasimu ya katiba!Tofauti na hapo na hapo hakuna cha tofauti kitachozaliwa!
 
Back
Top Bottom