Mkuu me mwenyewe siyo wa kanda hiyo ila nasubiri siku ifike!.Mission is to devide the political party into segments!! Ukanda utahusika hapa, propaganda itakua why Ukanda wa Mwendazake wengi wametupwa nje, na zaidi mbele ya safari wataunda chama kitakachopgia ama kitakachokuja kudevide votes tha kijani kama mbinu ya kuuadhibu haya yote yaliyotokea baada ya march 2021..ukimstad Pole pole ni kama analalamikia mamlaka juu ya falsafa za mwendazake kutupwa nje baada ya mwezi tajwa. Kundi ni kubwa na Niseme kuwa kundi litatikisa chama mana fikilia voters base yao inatoka wapi. Mda ni mwalimu mzuri tusubili!!
HAHAHA HIV NYIE MNAIJUA IDARA YA USALAMA WA TAIFA AU MNAWACHUKULIA POA ETI UHATARSHE CCM KUBAKI MADARAKANIMission is to devide the political party into segments!! Ukanda utahusika hapa, propaganda itakua why Ukanda wa Mwendazake wengi wametupwa nje, na zaidi mbele ya safari wataunda chama kitakachopgia ama kitakachokuja kudevide votes tha kijani kama mbinu ya kuuadhibu haya yote yaliyotokea baada ya march 2021..ukimstad Pole pole ni kama analalamikia mamlaka juu ya falsafa za mwendazake kutupwa nje baada ya mwezi tajwa. Kundi ni kubwa na Niseme kuwa kundi litatikisa chama mana fikilia voters base yao inatoka wapi. Mda ni mwalimu mzuri tusubili!!
Mwenye akili ndogo hawezi kunielewa ila Great thinker atafikili nje ya box. Ova!Punguza ukabila. Jina lako na fikra zako tu zinaonyesha wewe ni kundi lile la kanda ya ziwa. Hizi fikra zimeletwa na Magufuli, za kutaka kutugawa Watanzania. Mshindwe na nguvu zenu za kiza na mawazo finyu.
Polepole hana tatizo na Samia! Ila polepole anashida na watu wanaozunguka Samia! Ukifatilia futungo sijui nn mengi tu na mpaka leo anasema viongozi wajuu kuweni macho ao watu mtawajua nendeni ata TRA taarifa zao zipo jinsi wahun wanavyokwepa kodi.Mission is to devide the political party into segments!! Ukanda utahusika hapa, propaganda itakua why Ukanda wa Mwendazake wengi wametupwa nje, na zaidi mbele ya safari wataunda chama kitakachopgia ama kitakachokuja kudevide votes tha kijani kama mbinu ya kuuadhibu haya yote yaliyotokea baada ya march 2021..ukimstad Pole pole ni kama analalamikia mamlaka juu ya falsafa za mwendazake kutupwa nje baada ya mwezi tajwa. Kundi ni kubwa na Niseme kuwa kundi litatikisa chama mana fikilia voters base yao inatoka wapi. Mda ni mwalimu mzuri tusubili!!
Polepole hana shida na Rais Samia! Ila Polepole ana shida na wale watu ambao wanamzunguka Samia! Hawa wengi wao ni wapiga madili.Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ndio ushuzi uliohadithiwa!!Bila shaka kuna kundi la mafisi nyuma yake.
Huwaga ninapenda kusikiliza speech za kaka mkubwa, lazima achomekee vichekesho kidogo lakini havihusiani na ngono.Hari ya kawaida, inabidi tukue kisiasa kama kaka mkubwa Kenya, Raisi na Makamu Hawaivi lakini Raisi hawezi kutumia vyombo vya dola kumgandamiza.
Mifumo ya Serikali inafanya kazi, hiyo ndio demokrasiwa wabongo hii kitu haituingii akilintu tumezoea mafimbo na kutwangwa kutokea juu. Yaani Kauli ya Raisi ndio sheria na hakuna wakupingana nae!!!
Kila kitu kina 2sides, ie: a&b.Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Unaelewa maana ya Gwakikolo au Unafikir kila anayempenda Magufuli ni msukuma.Punguza ukabila. Jina lako na fikra zako tu zinaonyesha wewe ni kundi lile la kanda ya ziwa. Hizi fikra zimeletwa na Magufuli, za kutaka kutugawa Watanzania. Mshindwe na nguvu zenu za kiza na mawazo finyu.
Wahuni ni wanaotokwa na povu la maneno mbofu mbofu humu🤔.Kwani na wewe ni kati ya wale wahuni?
Hivyo hivyo sii mbaya Cha mwizi kikaliwa na mwizi🤔.Mission is to devide the political party into segments!! Ukanda utahusika hapa, propaganda itakua why Ukanda wa Mwendazake wengi wametupwa nje, na zaidi mbele ya safari wataunda chama kitakachopgia ama kitakachokuja kudevide votes tha kijani kama mbinu ya kuuadhibu haya yote yaliyotokea baada ya march 2021..ukimstad Pole pole ni kama analalamikia mamlaka juu ya falsafa za mwendazake kutupwa nje baada ya mwezi tajwa. Kundi ni kubwa na Niseme kuwa kundi litatikisa chama mana fikilia voters base yao inatoka wapi. Mda ni mwalimu mzuri tusubili!!
Wanyumbani sio🤔.Polepole yuko upande wa ukweli... Tunamuunga mkono.
Mh.Samia ni muungwana anamuacha tu aongee, ikifika muda Rais akakereka, hutamsikia tena Polepole anaongea, usicheze na nguvu ya Rais.Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
jatuandikia hayo maneno ya hovyohovyo kaka.Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Dah! kumbe "wenyewe" ndo walimpa neno NONSENSE!
Tunapo kusea ni pale ambapo tunawanyima watu uhuru wa kutoa maoni yao. Inabidi tufike mahali tuwe makini sana.Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app