Namba moja michepuko-hao ni balaa!
Namba mbili mama chanja(mamsap)
Namba tatu ndugu na jamaa!
Namba nne, kanisani/msikitini!
Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k.
Namba sita chama.......!
Namba moja michepuko-hao ni balaa!
Namba mbili mama chanja(mamsap)
Namba tatu ndugu na jamaa!
Namba nne, kanisani/msikitini!
Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k.
Namba sita chama.......!
Wasalimie huko bwana, kesho tukutane kwa Mwl. Mch. ALLEN ADAM MBISO Mchungaji Kiongozi Wa Usharika KKKT MBEZI BEACH. Tutoe na sadaka zetu nono mpaka shetani akasirike