mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
wenye akili wajuulize hili swali kwanini serikali imekaa kimya haswa idara ya mawasiliano ikulu,wizara ya fedha
Wameiba CCM,
tahari ni wewe na mke wako.usi generalize pimbi wewe
Business as usual,mpaka pale wa-Tanganyika watakapojitambua na na kuwaambia maccm kwamba sasa basi!mambo kama haya yatakoma.vinginevyo hizo ndio zinatumika kuwanunulia robo kilo ya sukari,t-shirt,kanga na kofia then mvumi na mkuranga wanakenua mpaka gego la mwisho linaonekana.Inasikitisha sana.
Ngozi ya kihindi hebu fafanua mkuu
We jamaa kumbe upo humu muda Sana, Ila mbona akili haipo?Wameiba CCM,
We ni muongo balali amekufaDaudi Balali tunapishana naye tu mjini sikuhizi yupo kama kanchibay
Itakua unajizungumzia wewe mwenyewe, toka uhamie CCM akili umempa Polepole afikirie kwa niaba yakoWe jamaa kumbe upo humu muda Sana, Ila mbona akili haipo?
Mara Mia ya polepole wewe umempa mukya mchepuko wa mwenyekitiItakua unajizungumzia wewe mwenyewe, toka uhamie CCM akili umempa Polepole afikirie kwa niaba yako