Magazeti yanapaswa kufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuja na habari kama hizi ama waandishi wanaoandika mambo kama haya wawe na uproffesional wa kitu wanchoandika. Huvi vitu vinakuwa hoja za wakaguzi sio maana yake pesa zimeibiwa inatokana na kuchelewa kupata au kutokuwepo hati za matumizi wakati wa ukaguzi kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo ni pesa zinzotoka mwisho wa mwaka wakati wa kufunga mahesabu. Na si kila hoja ya ukaguzi ni wizi. Hotokea mara nyingi matumizi kuthibitishwa baada ya nyaraka husika kupatikana.
mmmmh unajaribu kusema nn hapo....kama pesa imetumika na stakabadhi haionekan maana yake nn?
Hata kama pesa inachelewechwa kupelekwa.....hcho hakihalalishi misuse of govt fund