nani wa kunipenda

nani wa kunipenda

me4u

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
42
Reaction score
13
Wapenzi wadada wote ninaokutaa nao waongooo halafu wanagawa kishez,yaani hadi nimechoka kuotka na mademu mwezi sasa nipo single...dah ila hali tata bana hata sijui nifanyeje
 
jaamaaaniiii.... Mamndenyi njoo umshauri mwanao..
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni stress si kingine!
 
Back
Top Bottom