Nani vinara wa Tanzania

Nani vinara wa Tanzania

Zimmermann

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
4,051
Reaction score
3,617
Wakuu,
Naomba msaada wenu katika hayo mambo niliyoyaorodhesha hapo chini ili kufanikisha utafiti wangu mdogo kuhusu Internet Business hapa TZ

  • 10 Most popular Blogs
  • 10 Most popular Community Websites/ Online Forums
  • 5 Most popular E-Business websites
  • 5 Most popular Travel Websites- Hizi ni websites zinazoonyesha vitu kama hotels , migahawa, jinsi ya ku book flights etc ukiwa Tanzania.
  • 5 Most popular Social Networking websites kama Facebook / hapa mnaweza kuweka hata Dating websites kama zipo.
  • 5 Most popular Kids websites .

Natanguliza Shukran..!
 
naona wanajamvi wanabania kweli.....!

Uvumilivu kijana, hii siyo ya kukurupukia. Usikute ni assignment na majibu unategemea hapa!

Jaribu na Alexa, wakati ukiwasubiria akina Mtazamaji
 
Back
Top Bottom