Nani utampa chance kati ya hawa?

1. The one who has sex with someone else and confesses
2. The one who has sex with someone else and gets caught then confesses

confession is a virtue from the Almighty God.............................yeyote yule ambaye amekiri na kuomba msamaha ni lazima asamehewe...............
 
Nahisi namba tatu pamoja na kumkamata bado abishe duh hii kali aiseeeeeeee

Hivi huyu ni yule yule Ivuga au huyu ni mwingine...............................yule Ivuga ambaye ulimbwaga kule kwa wakubwa.................
 
Namba 3 inapata kura yangu.
Ukiteleza ukangonoka jirudi tu wewe mwenyewe, huna haja ya kuungama, inakuwa ni kosa kubwa, hata kama ulikutwa red handed (It wasn't me!)
Kutegemeana na jinsia yako kwa sisi midume kisaikolojia hatukubali demu akienda nje , inaganda kwenye bongo 24/7 huwa hatusahau, kwa akina dada wepesi kukusamehe ila nao hawasahau na ndio huwa jambo dogo unakumbushwa we si umefika kunifanyia .....?
 
Back
Top Bottom