Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Kuna watu ambao wakichungulia status yako huwa unafurahi na wasipo chungulia unanuna.
Mimi nina rafiki yangu ambae huwa napenda achungulie status yangu nikiamini ananipenda .
Asipo chungulia huwa napata wasiwasi sana.
Hivi ni kila mtu ana feeling kama zangu au mimi tuu?