Nani unamu-admire hapa JF?

Kabisa wakati natumia jf miaka hii Hawa watoto Intelligent businessman Depal Selikavu walikuwa wana miaka 10 hawajui kutumia internet πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
Nilivyo ibiwaga simu nikaachana na jf waliniibiaga maeneo ya mwenge pale😭😭
No hate, ila usi nimention Sana tafadhali, siku hizi sipendi makundi kundi jf. I just wanna be me
 
Out standing introduction of one self πŸ€’πŸ˜„
 
Mimi Niko kwenye mawaziri.
Nampenda Sana Dk Gwajima, sio kwa shepu yake Bali kwa mbwembwe zake na utendaji wake wa kazi.
Jamani simpendi Jenista, hajawahi kunikosea Ila Basi tu, nikimuona mu tiivii nabadilisha chaneli mpaka aondoke. Mwingine nisiyempenda Ni Nape na mwenezi. Hawajanikosea sema damu zetu haziendani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…