Nani unamu-admire hapa JF?

Naomba samare ya yaliyojiri mwezi mmoja uliopita, na habari senyu kwa dabali dabali
 
Mimi nawapenda wote ambao wanasimamia hoja, hawafuati mkumbo na wanaojiamini,

Pia ninawapenda wale ambao wako open na wanaappreciate michango ya wenzao kama ina mshiko regardless of it coming from CDM or CCM raving fans

To mention just a few really, nampenda Bubu anataka kusema and Miss Judy na Derimto. Wengine nimewasahau lakini all the ladies I feel u

, kuna wale wakipingwa wanakuwa mbogo sana humu na kurusha vijembe for no reason @ all...nadhani over time nimejifunza kuargue constructively and defend with facts ...mwanzoni ilikuwa ukipingwa unakimbia kuhema kdg
 
I actually wrote this? 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…