Nani unamu-admire hapa JF?

Mi sio Lizzy...natumia tu ID yake!!
Mhhhhhhh ngumu kumeza sasa usikasirike wachakachuaji kama kina dada Dena Amsi wakiibuka hapa, Ina onekana NN anakunyima uchingiji eee, au mnapendana kijanjajanja
 
I'm cooler than the work water cooler
Slicker than the Pajero Intercooler

Tough guy ain't my persona
Never been a gangsta

I'm a full time hustler
Never been a part timer
Always the headliner
 
Nimefurahi saaana kuona msimamo wako leo... i bliv CPU is so proud of you leo... basi tu kujishebedua! Me glad you my partner...
Thanks partner...ili Sipiyu kama kawa kaenda kulala huku amenuna!!Eti anahisi nshaanza kuibika ibika!!
 
Mhhhhhhh ngumu kumeza sasa usikasirike wachakachuaji kama kina dada Dena Amsi wakiibuka hapa, Ina onekana NN anakunyima uchingiji eee, au mnapendana kijanjajanja
Hahhahaha...Shantel bana!!Haya nenda kalale mamaa mkanda umeisha!
 
I'm cooler than the work water cooler
Slicker than the Pajero Intercooler

Tough guy ain't my persona
Never been a gangsta

I'm a full time hustler
Never been a part timer
Always the headliner

As if..........
 
Thanks partner...ili Sipiyu kama kawa kaenda kulala huku amenuna!!Eti anahisi nshaanza kuibika ibika!!

Ni vizuri kufanya hivyo... maana akiona hamna anaeku mind anajisahau.... wacha akina NN na Kloro wamrushe kidogo...
 
Baaa........Kunoga Somooooooooooooooooo..............
 
Ahahahaaah!! Mkuu Gazeti.......utani mwingine sio mzuri.....lol!!
 
daah mambo vipi mpenzi
ndo nini kupotea hivyo jamani
dahhh Paka Mweusi alikufuata
naye sijui ndo kapotea njiani mmmhh
Hujambo lakini mami??

Sijambo AD
Dah, niko shambani bwana wangu,
Si unajua msimu wa mvua huu,
Tunapalilia wangu,
Dah huyu Paka nitamfunga kengele nikimkamata aisee.
 
Sijambo AD
Dah, niko shambani bwana wangu,
Si unajua msimu wa mvua huu,
Tunapalilia wangu,
Dah huyu Paka nitamfunga kengele nikimkamata aisee.
We nae umepotea sana rudi mjini shamba hakukufai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…