Makini Buz
Member
- Jan 13, 2015
- 21
- 9
Ina maana hawa ni mtu mmoja???? Au
Nawakubali wote coz kila mmoja ana mchango wake uwe wa kukera au kufundisha.
Mkuu bily, mambo vipi bro? habari za siku nyingi? Dinazarde anasemaje hapo juu?
Shy land anajijua mwenyewe mkuu, he has too many names apart from this of shying....
Btw, tufurahie wote tu kuwa JF. Invisible si yupo bhana, atayetoa makucha nje tu naamini mkuu Moderator ama Paw atamtolea jicho...
Asubuhi njema wadau.!
Nawakubali wote coz kila mmoja ana mchango wake uwe wa kukera au kufundisha.