Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,099
- 630
- Thread starter
- #21
Sijaona wa kumwamini hata mmoja mpaka sasa! Wengi ni wachumia tumbo tu, si CCM wala si upinzani.
Vipi Jeshi likishika hatamu?? Hali itakuwaje.?
Sijaona wa kumwamini hata mmoja mpaka sasa! Wengi ni wachumia tumbo tu, si CCM wala si upinzani.
kwani kwa sasa nani anayo?
tumkabidhi makofuli
Vipi Jeshi likishika hatamu?? Hali itakuwaje.?
tuwakabithi chadema maana tuliowakabithi hatuwaamini tenaWa Tanzania wenzangu,
Ninajiuliza nani anayefaa kukabidhiwa Nchi ya Tanzania mwaka 2015.
Nchi yetu Tanzania ina kila kitu ambacho Nchi yeyote inakihitaji ili iweze kusonga mbele. Lakini sisi tumeshindwa.! Tatizo ni Viongozi wetu, uzalendo au Elimu yetu? Nini hatuna rasilimali, ardhi, siasa safi, amani, viongozi au nguvukazi? Tatizo liko wapi?????
Swali la mwisho linanijia NANI tumkabidhi Nchi yetu Uchaguzi ujao 2015??