Nani senior kati ya majeshi yafuatayo

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
10,323
18,541
Jamani naomba kuuliza swali hapa mnisaidie
Kati ya majeshi tuliyonayo nchini bila shaka jwtz litakua jeshi senior kwa wote, sasa nauliza kwa mwenye uelewa anisaidie kujua nani jeshi senior kati ya hawa:
Polisi,magereza,zimamoto na uokoaji na idara ya uhamiaji.

Logic ya swali langu imetokana na kuimagine askari wenye rank sawa mfano warder wa magereza na Police Constebo (PC) wakikutana ni yupi anatakiwa kuanza kumsalimia mwenzie?
 
ulivyopanga ni sawa ila uhamiaji afuate baada ya magereza
 
Kwanza mkuu napenda kuchukua fursa ya kukueleza suala hili, Magereza wako wa aina mbili Tanganyika na Zanzibar na kwa upande mwengine senior anatokana na utendaji wa kazi kimfumo wa serikali.
 
Kila Chombo Kipo Kwa Mujibu Wa Sherehe
Sasa Masuala Ya Senior Hapo Hakuna Chombo Kinafanya Kazi Ya Mwenzake Ila Kwa Mujibu
 
Inawezekana una point na hoja nzuri, ila haujaiweka vizuri, unaweza kuiwasilisha tena hoja yako?, labda kwa kuongeza tu constable wa Police yupo sawa na wa Magereza au Zimamoto?
 
POLISI wote wako chini ya wizara ya mambo ya ndani na JWTZ wako chini ya wizara ya ulinzi,majibu utayapata nani mkubwa kwa mwenzie katika hizo sector mbili
 
Kila chombo kipo kwa mujibu wa katiba kwa iyo nyota mbili jeshini na nyota mbili polisi wote ni wakubwa wakiwa ktk idara zao
 
Mnatakiwa mumfaham mtoa mada alichokusudia, ni kweli kila askari ni mkubwa ktk sekta yake, alichokusudia ni tofauti na sekta ya askari aliyopo. Sekta ziwe mbili tofauti kwa jibu rasmi nyota mbili wa magereza ni mdogo kwa nyota mbili wa polisi.
 
uongo, wote wako sawa
 
POLISI, MAGEREZA , UHAMIAJI popote duniani hizo huitwa idara wala sio Jeshi neno JESHI kwa Tanzania limetumika KISIASA tu. JESHI LA ULINZI ni moja tu JWTZ na ndilo SENIOR kwa idara zote zinazojishughulisha na Ulinzi
 
Wewe pia ni mwanasiasa.
 
Back
Top Bottom