Nani senior kati ya majeshi yafuatayo

Nani senior kati ya majeshi yafuatayo

Kama rank(vyeo) wako sawa TDPF,Polisi halafu magereza,uhamiaji na mwisho zima moto. Ila kama vyeo hawako sawa mkubwa anamsalimia mdogo kivyeo.

Rejea sherehe za kitaifa ambapo wakuu wote wa vyombo vya usalama( wakiwa na sare zao) anaanza kutoka mkuu wa majeshi ,halafu IGP, halafu mkuu wa magereza,mkuu wa uhamiaji na mwishoni mkuu wa zimamoto.

Ninaposema mkubwa anamsalimia mdogo ni sawa na kufikiria endapo kanali wa jeshi ametumwa kimemo kwa IGP nafikiri akifika lazima ampe salute IGP ndipo aseme alichotumwa.
 
wote wapo kwa mujibu wa sheria.pia hakuna sinior kwa kuwa kila mtu amepewa majukum yake.amir jeshi mkuu anaweza amua vingievyo kukupa mamlaka na madaraka fulani atakapo amua yeye kutokana na aina ya jukum pale atakapoamua kukuamisha au vinginevyo.
kwa kifupi majeshi yote yana kozi mbili ambazo askari afisa yeyote lazima apitie nazo ni ya recruit na uafisa
 
Kila chombo kipo kwa mujibu wa katiba kwa iyo nyota mbili jeshini na nyota mbili polisi wote ni wakubwa wakiwa ktk idara zao
Vepe kama watakutana mkuu nani atakayeanza kumsalimia mwenzake???????
 
vilevile ni muhimu kuelewa kuwa JWTZ Afisa yeyote huwa lzm awe commisioned na RAIS.. but hayo majesh mengine ni GAZZETED RANKS... RAIS hawavish kasoro KAMISHNA WA MAGEREZA na kwa upande wa polisi vyeo vitatu tu vya juu ndo huwa COMMISIONED na RAIS... so nyota 1 wa JWTZ kumpigia Afisa yeyote wa polisi au magereza SALUTE ambaye si COMMISSIONED ni kuleta ufanisi tu ktk kaz na ushirikiano... but kihalali, hatakiw
 
Back
Top Bottom