Kuna mtoto mmoja alikuwa hajasafiri toka azaliwe nje ya kijiji Chao siku moja akaona kichuguu akajua ndio mlima Kilimanjaro unaohadithiwa.Kutembea,kuona,na umri wa mtu kuna nafasi kubwa sana kwenye kujua mambo Tanzania kuna matajiri wakutisha huwezi sikia habari zao na hujawahi wasikia.Mzee Nimrod Mkono lazima umuone tajiri sana maana anasikika vile utajiri wake sio mchoyo anaweza jenga shule jimboni kwake na computer kisha anaipa serikali