Nani ni mmliki wa kampuni ya Oil Com?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,801
Kwema wakuu,

Kesi ya Jamiiforums (Jamii Media) vs Oil Com ni moja ya kesi yenye mvuto wa aina yake hasa yale maswali ya mawakili wa JF na kivutio kikubwa zaidi ni majibu ya mashahidi wa upande wa mashtaka, kama una mtoto wako unauza ukampa asome kisha umuulize anaionaje hiyo kesi.

Lengo la uzi huu si kuijadili kesi iliyopo mahakamami lakini kutokana na aina ya mashtaka nimepata shauku ya kudadisi kuhusu mmliki wa hii kampuni.

Je, kampuni hii inamilikiwa na nani au kina nani? Bodi ya wakurugenzi ni wakina nani? na menejimenti ya juu kabisa ni kina nani?

Karibuni wadau
 
tuwekee link ya uzi wa cross examination uliyoitaji tujikumbushe please
 
ninavyo fahamu mimi
mmiliki anaitwa mohammed suleiman ..kijana wa sumbawanga but anaishi dar es salaam .
 
Back
Top Bottom