Nani ni kama mimi?

Pole sana Mkuu, take ur time ama elewa tu jamaa hapendi mawasiliano ya mara kwa mara ila tu wakati kuna sababu ya kufanya hivyo
 
Dada angu...ukiona akufai weka pembeni angalia mwingine.....na huyo asipokufaa tia pembeni chukua mwingine......itafikia hatua utapata tu aliye Bora na anaekupenda ww tu!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Pole yako inshort upendwi sema mda mwingine kuchat kila mda sio upendo kwa mtu anaejishughulisha maana inakuwa kero just call for a fleeting na ufanye mambo mengne
 
Pole sana songa mbele kuna maisha baada ya kuachwa, Mungu akusaidie.
 
Tunashare unachokipitia Mkuu, kikubwa tule na kushiba vizuri coz mapenzi ni ya walioshba

Niwaombe Wana jamvi wakae attention kupokea uzi wangu soon ....

Nitamwaga mchele kwenye kuku wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…