Nani ni kama mimi?

Dunia iko kwingine kabisa kwa sasa, hakuna upendo wa kweli, ahadi zinavunjwa, usaliti umetawala.


Usiwekeze upendo kupita kiasi kwa mtu, rudi kwenye akili timamu za kumsoma mtu na uwe tayari kwa lolote lile. Hautaumia.
SAHII kabisa
 
Ni shairi, ngonjera au mipasho!
 
Pole sana... Mungu akauponye moyo wako na kuondoa uchungu ili uweze kupokea yaliyomema mbele yako
 
Nani kama mimi ninaeishi kama vile nipo ndotoni kwamba nikiamka atakuwa hayupo tena maishani mwangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…