Tabuley na Franco hapatoshi1. Franco luambo makiadi
View attachment 3410299
2. Tabu Ley Rochereau
View attachment 3410301
3. Papa wemba
View attachment 3410303
4. Pepe kale
View attachment 3410306
List hii ni ya OG wa rhumba, wakina fally wanaimba Rhumba ya kimarekan
some usefull info, naomba source ya hii taarifaSamahani; hiyo post uliyokwoti niliiandika kwenye iphone, na hao jamaa wa iphone huwa wana tabia ya kubadilisha maneno ninayoandika kwa kiswahili. Nimeshairekebisha.
Tukirudi kwenye mada, ukweli ni kuwa hakuna mtu anayejidai kuwa ni mwazilishi wa Mziki wa Rhumba huko Congo kwa sababu kadhaa, Muziki wa rhumba uliletwa eneo letu hili na Salim Abdallah Yazidu aliyekuwa na Bendi ya Morogoro Jazz baadaye akaanzisha ya kwake iliyoitwa Cuban Marimba. Hapo alivuta muziki wa Cuba na kuuweka katika marimba za kiafrika, na hiyo ilikuwa ni mwaka 1948. Muziki wa rhumba ya Salimu Abdallah ulimvutia sana Kabasele naye akaanzisha bendi yake ya African Jazz mwaka 1953, yaani miaka mitano baada ya Salim Abdallah kutangulia. Franco alianza muziki kama muajiliwa wa bendi ndogo ilyokuwa ikishandana na ile ya Kabasele; bendi hiyo ilikuwa inajulikana kama Bandidu. Mwaka 1956 ndipo alipoanzisha bendi iliyokuja kujulikana ka TP OK Jazz. Huyu Kabasele nadhani ndiye babawa Pepe Kalle, ila baadaye walishirikiana na Francko kwenye Muziki wao.
Kwa mtililiko huo, utagundua kuwa Franco alikuwa ni late comer sana kwenye muziki wa Rhumba. Isingekuwa kifo kumchukua Salimu Abdallah, labda Franco asingekuwa jina kubwa sana kama lilivyo leo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=xAEDihQDV-I&list=RDxAEDihQDV-I&start_radio=1
Source ni mimi mwenyewe; hujui kuwa mimi ni kichuguu? Hayo yanataokea mimi nilikuwa toddler tukifundishwa AEIOU kwenye mwembe. Ndiyo maana nilichukizwa na lugha yako kuse,ma kuwa mimi ni mwongo. Ni afadhali kusema kuwa hii siyo kweli kulikuo kusema kuwa huo ni uwongo. Najua vijana wengi wa siku hizi hawana skills za mawasiliano lakini kuna haja ya kuwa kuwa msikivu wakati unawasliana na watu wengine.some usefull info, naomba source ya hii taarifa
samahani kwa hili, nimechunguza online apa however naona anapewa credit mtu anaitwa Antoine “Papa Wendo” KolosoySource ni mimi mwenyewe; hujui kuwa mimi ni kichuguu? Hayo yanataokea mimi nilikuwa toddler tukifundishwa AEIOU kwenye mwembe. Ndiyo maana nilichukizwa na lugha yako kuse,ma kuwa mimi ni mwongo. Ni afadhali kusema kuwa hii siyo kweli kulikuo kusema kuwa huo ni uwongo. Najua vijana wengi wa siku hizi hawana skills za mawasiliano lakini kuna haja ya kuwa kuwa msikivu wakati unawasliana na watu wengine.
Wapi Josky Kiambukuta.Wapi Madilu sytem?
Wapi Sam Mangwana?
FRANCO SI WAKUSHINDANISHWA JAMENI YEYE NDIYO RHUMBA YENYEWE
Kwenye lile goma la 'missile' alifanya vyema.uyo bado sana kwenye hii ligi
Mayaula mayoni1. Franco luambo makiadi
View attachment 3410299
2. Tabu Ley Rochereau
View attachment 3410301
3. Papa wemba
View attachment 3410303
4. Pepe kale
View attachment 3410306
List hii ni ya OG wa rhumba, wakina fally wanaimba Rhumba ya kimarekan
Hayupo huyo mtuKua serious kidogo ndugu yake iriza
Mi namwelewa Mayaula bhn na wimbo wa MbongoKua serious kidogo ndugu yake iriza
Huu wimbo tangu niko mdogo wa miaka 6 ninaupenda hadi leo hasa kile kipande wanaitikia wale wanawake.Mi namwelewa Mayaula bhn na wimbo wa Mbongo