Nani na Nani Wanaijua hii?

Nani na Nani Wanaijua hii?

Mi sio mkuu kiviile na sio dogo!
Ila ujumbe uko bomba sana kwa mtu mliependana mkashibana.
Naona madogo wanapita wima. ingekuwa Nimpende nani wa Diamond, hapo ungeona mtu nyoni zinakoment.
Lakini hao sijui Maquis kama sikosei, Tuliozaliwa 90 hatuisomi namba.
 

Maneno yako yote nimeyapokeeaa, yako moyoni mwangu.
Nimeyapokeeaa kwa roho moja e!
Huko hapa moyoni mwangu, mpenzi wangu macho yameona wengi
Lakini ni wewe pekeee ninaekupenda.

Roho yangu nimekuachia wewee! Nguvu zangu zote ni kwakoo!
Mara kwa mara ukuwazaa! kula kulala kwa mawazoo!
Hakuna kilichokuwa na thamani kwangu bila wewee!

Napokuona au nisikiapo sauti yakoo! Furaha ujaa moyonii!
Utokapo kwenda kazinii, wasiwasi kwangu unijiaa!
Kama utarudi salama na mungu yupo nawee! daima nitakupendaa!


Maneno yako yote nimeyapokeeaa, yako moyoni mwangu.
Nimeyapokeeaa kwa roho moja e!
Huko hapa moyoni mwangu, mpenzi wangu macho yameona wengi
Lakini ni wewe pekeee ninaekupenda.
​



kwako my bebii preta..sikia ujumbe huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom