Nani na Nani Wanaijua hii?

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Ndugu zangu, sisemi sana.
Vijana wa zamani mpooo?

ZEMBWELA

Maneno yako yote nimeyapokeeaa, yako moyoni mwangu.
Nimeyapokeeaa kwa roho moja e!
Huko hapa moyoni mwangu, mpenzi wangu macho yameona wengi
Lakini ni wewe pekeee ninaekupenda.

Roho yangu nimekuachia wewee! Nguvu zangu zote ni kwakoo!
Mara kwa mara ukuwazaa! kula kulala kwa mawazoo!
Hakuna kilichokuwa na thamani kwangu bila wewee!

Napokuona au nisikiapo sauti yakoo! Furaha ujaa moyonii!
Utokapo kwenda kazinii, wasiwasi kwangu unijiaa!
Kama utarudi salama na mungu yupo nawee! daima nitakupendaa!

Maneno yako yote nimeyapokeeaa, yako moyoni mwangu.
Nimeyapokeeaa kwa roho moja e!
Huko hapa moyoni mwangu, mpenzi wangu macho yameona wengi
Lakini ni wewe pekeee ninaekupenda.
 
Baada ya mziki, kipindi cha jangala.

Afu kuna moja ulikuwa unaimbwa.

Jua la asubuhi lapendeza, kila kiumbe kinapenda asubuhi eee.
mimi nakumbuka kile kipindi cha asubuhi majira hapo ndo nashtuka nishachelewa kushika number shuleni loh
hivi lile igizo la kina jangala na kimziki chake kile
chubuku ya tanzania ndio ya kujivuniaaaa ilianza kutengenezwa mwaka 27...... chubuku oyeee hongera hongeraaaa chubuku oyeee ,hongeeeeraaaaaaaa
ilikuwa ni jumapili saa tatu usiku
hapo nalazimishwa kulala maana asubuhi kuamshwa nilikuwa mbishi kelele mtaa mzima sasa kina sis walikuwa wanaipenda kweli
 
Vipi na kile kipindi cha mama na mwana?
Hadithi ya ua jekundu!
 
Dogo kalale wewe!
Si unaona wenzio wanavyokumbuka wewe wa 99, unakumbuka nini?

Siwezi kuacha kazi nikaenda kulala muda huu, ni utoto unakusumbua, ukikua utaacha.
Hizo nyimbo wewe umeziskiza kwenye MP3 format na kugongea Radio One na TBC Taifa, mimi nimehudhuria DDC Kariakoo, Anautoglu na Carnival Nairobi.
Jinga wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom