donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
nakumbuka hiyo kwenye kitabu cha kiswahili mkuu"Siku ya gulio katerero" enzi hizo za kidumu cha maji na ufagio wa chelewa.
maweee umsino guregireIweee huo mshare unakoerekeya hiyo kitu inapatikanaa?
umeona eeh mkuukumbe ndo huku sasa tunashukuru kwa kutuondolea utata uliokuwa humu Jf kumbe ni mtaa na si yale tuliokuwa tunaambiwa.....
Bukoba, ila wahaya sijui kama watakuelewa jinsi wanavyolitafsiri hili neno
wanalitafsirije? msaada wa kuelewa
Mweh! Nani ataweza kutoa tafsiri mkuu?