maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
mim naona huku field walimu wanapata shida sana elimu msingi maana take mini?
Ufafanuzi unahitajika sana kuondoa mtafakuru maswali ni kama ifutavyo.
je hakuna neno shule ya msingi?
upimaji wa mitihani ukoje form two. hakuna kufelisha?
na mengine mengi maana ukimuuliza mwalimu hakuna mwenye jibu