Nani mwenye taarifa za hii ofisi inayojiita Presidential Trust Fund (PTF)

Monroe

New Member
Apr 5, 2011
4
0
Hawa wanaojiita Presidential Trust Fund au Mfuko wa Rais wa Kujitegemea ni akina nani na wako wapi?
 
Ofisi zao zipo Moroco,pale nyuma ya Bonjour kuna barabara inashuka chini upande wa kushoto wa kanisa la laterdays saints.
PTF wanatoa mikopo kwa wajasirimali mkuu wake ni mama Likwelile.Ila kwa sasa inasuasua aifanyi kazi ipasavyo
 
PTF ni taasisi ya kifedha.
Kazi yake kuu ni
-kutoa mikopo kwa wafanyabiashara wadogowadogo wanaume/wake.
Ofisi zake ziko maeneo ya marocco karibu na ofisi za G4S-security company.
 
Ofisi zao zipo Moroco,pale nyuma ya Bonjour kuna barabara inashuka chini upande wa kushoto wa kanisa la laterdays saints.
PTF wanatoa mikopo kwa wajasirimali mkuu wake ni mama Likwelile.Ila kwa sasa inasuasua aifanyi kazi ipasavyo

Huyo Mama Likwelile ndiyo huyo ninayesikia kachangia kwa asilimia 100 kuiua hii taasisi ambayo alikabidhiwa ikiwa inafanya vizuri sana?
 
Ofisi zake zipo old Morogoro road, zinatazamana na FFU Morogoro
 
Back
Top Bottom