Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

Mama...mi sina la kusema mama anguπŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Mungu, wazazi wangu na dada zangu. Sina cha kuwalipa aisee πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Kwenye makuzi yetu mpaka kufikia hapa tulipofikia kuna mtu amehusika kwa asilimia kubwa mpaka kufika tulipofika.

Yawezekana ni baba,mama, rafiki, bibi, babu, mjomba, mwalimu wa shule ama yeyote anayehusika moja kwa moja kwa kufika ulipofika.

Shukrani zangu kwako mzee wangu(baba) umenipigania sana sina cha kukulipa chenye kufikia jitihada zako ila mungu atakulipa.
Namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya na maisha haya nilio nayo.

Namshukuru kwa zawadi ya maisha ya wazazi wangu walionileta humu duniani kwa neema na Baraka za Mungu..

Nawashukuru walimu wa shule na dini kwa kunisaidia kujua kusoma, kuandika, kuhesabu, kuamini, kuabudu na kushukuru, kutoa sadaka na kua mnyenyekevu, mwenye subra na mstahumilivu :NoGodNo:
 
Wengi wametaja wazazi, wajomba ,dada nk

Ila sijaona aliyemtaja Mwalimu tena wa chekechea ..

Walimu wa "vidudu" washukuliwe popote walipo.

Hawa ndo walioanzisha safari yetu ya mafanikio ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom