mpemba mbishi JF-Expert Member Joined Nov 27, 2011 Posts 1,132 Reaction score 188 Dec 4, 2011 #1 Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota ghafla akapiga kelele "Jifiche mume wangu kaja" au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu,..!
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota ghafla akapiga kelele "Jifiche mume wangu kaja" au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu,..!
Chiwa JF-Expert Member Joined Apr 17, 2008 Posts 4,151 Reaction score 5,022 Dec 4, 2011 #2 tehee tehee teheee! hii imetulia! umewaza nini jumapili yote hii lazima nilimekutokea Do! kudadadeki!
tehee tehee teheee! hii imetulia! umewaza nini jumapili yote hii lazima nilimekutokea Do! kudadadeki!
Sunshow JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,140 Reaction score 395 Dec 4, 2011 #3 Ngoma droo.
dazipozi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 1,137 Reaction score 106 Dec 4, 2011 #4 wote wezi 2
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Dec 4, 2011 #5 Wote vimeo.
IFUNYA JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 363 Reaction score 132 Dec 4, 2011 #6 Mwanamke ndiye mwenye matatizo ya kutembea/kutoka nje ya ndoa yao.
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,152 Reaction score 7,423 Dec 4, 2011 #7 mume muoga kinoma.
Mmasihiya JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 389 Reaction score 172 Dec 4, 2011 #8 Wote wana makosa kwa kutopeana talaka hadi leo'
mpemba mbishi JF-Expert Member Joined Nov 27, 2011 Posts 1,132 Reaction score 188 Dec 4, 2011 Thread starter #9 IFUNYA said: Mwanamke ndiye mwenye matatizo ya kutembea/kutoka nje ya ndoa yao. Click to expand... Nani weyeee?
IFUNYA said: Mwanamke ndiye mwenye matatizo ya kutembea/kutoka nje ya ndoa yao. Click to expand... Nani weyeee?
Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,166 Reaction score 2,670 Dec 4, 2011 #10 Aiseeee!