Nani mwenye makosa

Ni kweli lakini makanisa yapo mengi na hivyo nadhani alikuwa na padri wa kanisa jengine. Kuna kijana alijiua hapa jirani padri wala kiongozi wa jumuia hawakuongoza ibada lakini walipata mtu mwingine akaendesha ibada. sasa hivi ni soko huria

Tatizo!!
Hakuna utaratibu wa namna hii Kanisa Katoliki.
Askofu asuse Padre aje aongoze Ibada?
 
Nadhani itakuwa mwanzo walikubali ndio maana mke wa marehemu akawepo baadaye wakageuka na ndio maana akaondoka. lakn mazishi hayakufanyika nyumbani kwake yakafanyika nyumba yake aliyokuwa ameweka wapangaji na kaburi lipo hapohapo.


 

Mkuu PetCash, usiombe kutendwa na kuvurugwa na mtu wako wa karibu uliyemwamini na kumpenda, ina hitaji nguvu ya MUNGU kusamehe. Ndio maana hata Madiba Mandela alishindwa kumsamehe Winne mpaka mauti yamempata
 


hujakutana na waliojeruhiwa na kila wakati wanaombwa msamaha na bado mtu anarudia makosa yale yale sasa unakuta mtu mpk moyo na akili hazifanyi kazi utashangaa vituko vyao omba Mungu uishi miaka mingi utaona vituko vingi sana kwenye hii dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…