Nani mwenye makosa

Hebu weka hitimisho lako vizuri...

Hitimisho ndio kama hivyo. Ndugu waligoma mke asishirikishwe wakaona ni bora askofu aondoke. Na askofu anasema taratibu lazima ufuatwe. Wakamwambia kama ni lazima mke ashiriki basi bora waondoke wote. Nafikiri ndugu walijua jamo hilo linaweza kutokea hivyo wakawa na mtu mwingine tayari kwa ibada. Hiyo familia wanapesa hivyo haikuwa tabu pengine ndio maana na kiburi wakawa nacho
 
Nadhani mke alijua jamaa atapona tu na akaona ni mbinu ya kutaka kumpatanishi na mjeruhi wake.

 
hyo atakuwa tu mchaga wana jua kujiona vidume hawalegei kwa dudu ,... mpaka chapa .. angeambiwa njoo uchukue urithi wa wanao angekuja fasta ..:angry:

hahahhahahaaa........ c aliachiwa mapema, ndo mana karinga!! mweeh! chezea chaga ww
 
Unajuaje kwamba ndio anakataroho na hospitali hakwenda walishakuwa wanaishi separate kwa miaka?
Naam ni mchaga umejuaje? we Mchawi nini?

umeona eeh! ila upande mwngine huyo mke kisirani, mana mtu unaona kabisa anakata roho unashindwa kumsikiza na kumsamehe tu umpunguzie adhabu huko aendako mweeh!! I wanda kama cio mchaga..... hahhahhaa (usinune m mwenyew mchaga)
 
Unajuaje kwamba ndio anakataroho na hospitali hakwenda walishakuwa wanaishi separate kwa miaka?
Naam ni mchaga umejuaje? we Mchawi nini?

ikishafika hatua ya mtu anakuita, hata kama mmegombana, na unajua alikua anaumwa, ujue ndo hatua ya mwisho hiyo!! hahahahahah I know wachaga wew, m mwenyew mmoja wapo, uwezi ukanifanyia ujinga kirahisi, wanajali watoto na family hawataki ujinga..... ila mweh huyo kazidi!! m nngeenda tu kumsikiza afu mengine nngejua mbele ya safari!!
 
Ni rahisi kusema lkn ukifikiria umekaa miaka kazi yako kukumbatia mito tu unaishi kama mjane wakati mume analala na wanawake tofauti na kuzaa hovyoo. We umekaa home tu na aibu zako. Kusamehe sio nyepesi. Ni bora basi wangeenda na ''jani la sale'' hahahaa na kambege kidogo


 
hahahhahahaaa........ c aliachiwa mapema, ndo mana karinga!! mweeh! chezea chaga ww

ha a ha ha ha ha ndiyo maana nilishahau kuwa aliachiwa nyumba na watoto... maskini huyu baba poor target
 
Wakaingia kwenye gari na kuondoka. Ndugu wakaleta padri kutoka sehemu nyingine na ibada zikafanyika kama kawaida.

Tatizo!!
Hakuna utaratibu wa namna hii Kanisa Katoliki.
Askofu asuse Padre aje aongoze Ibada?
 
money talks chaliii

Nakataa. Hakuna kitu cha namna hii, na nitakuwa wa mwisho kukubali hili.
Hakuna kanisa lenye complication kama Katoliki linapokuja swala la Mazishi.
Hata askofu kuwepo tu tayari Paroko na Mapadre wengine wa eneo husika
wanataarifa na wangekuwepo.
tena hayo yangetatuliwa kabla na wala asingetia mguu hapo kama bado kuelewana baina ya ndg.
 

sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…