Hebu weka hitimisho lako vizuri...
kwa wingi kabisa...
habari ya mwaka mpya?
Huyo mkewe hana hata chembe ya busara....Hata ndugu nao hawana busara. Mwanamke gani anashindwa kumsamehe mtu ili aende zake kwa amani. That is the battle for his soul which is more important than life.
Unashindwaje kumsamehe mtu anayekaribia kufa. He wont hurt you any more that is guaranteed. Hiyo ni roho ya kutu, Kwani yeye hatendi dhambi?
Askofu kung'ang'ania mke awepo na yeye pia ni shida kwa sababu the guy is gone. He has no ties with the woman any longer. Yalishakwisha mkewe aliposhindwa kumsamehe.
Jamaa angezikwa na watu wote kama ilivyo ada, kila mtu asahau mahusiano mabaya na jamaa coz he is already gone and wont help anything hating him.
mkosaji mke mwenye kinyongo kushindwa kusamehe
Wanawake huwa hawasamehi kama ulimumiiza moyo wake mpk ukafa ganzi. Unless ukute ambaye anamjua Yesu
Ndugu yangu kuna kitu kimoja ambacho wanaume huwa hawajui na huwa wanadanganywa mwanamke ni kiumbe mvumilivu sana utamfanyia vituko utamnyanyasa atakuvumilia na wewe unajiona kidume but usiombe afike kwenye maximum level of tolerance hapo ndio huwa naona ni heri ukaishi na simba wa mwituni atakuwa na huruma maana mwanamke akishafika hiyo level hata akukute umekanyagwa na gari hapo hatatoa hata upande wa kanga maiti yako ifunikwe! Mwanamke huwa hasamehi huo ndio ukweli sasa kama unafanya madudu yako jaribu kumheshimu mkeo utafaidika lakini ukiumiza moyo wake na akasononeka ni mbaya sana.
Kwa hii mada wote ni wakosaji ndugu na huyo mke.
hapo ni ganda la nje tu, ya ndan hatujui, unajua alimfanyia nn mpaka akatae kumsamehe? labda akae na mke mwenyew amuelezee aje atupe uzi mwingne.....mkosaji mke mwenye kinyongo kushindwa kusamehe
belie ni kweli ila sasa bado mke akiongea kujua ukweli jamaa kasha danja basi .. mwenye kosa ni wotehapo ni ganda la nje tu, ya ndan hatujui, unajua alimfanyia nn mpaka akatae kumsamehe? labda akae na mke mwenyew amuelezee aje atupe uzi mwingne.....
umeona eeh! ila upande mwngine huyo mke kisirani, mana mtu unaona kabisa anakata roho unashindwa kumsikiza na kumsamehe tu umpunguzie adhabu huko aendako mweeh!! I wanda kama cio mchaga..... hahhahhaa (usinune m mwenyew mchaga)belie ni kweli ila sasa bado mke akiongea kujua ukweli jamaa kasha danja basi .. mwenye kosa ni wote
umeona eeh! ila upande mwngine huyo mke kisirani, mana mtu unaona kabisa anakata roho unashindwa kumsikiza na kumsamehe tu umpunguzie adhabu huko aendako mweeh!! I wanda kama cio mchaga..... hahhahhaa (usinune m mwenyew mchaga)