Hapo mwenye shida ni huyo mama, maana alikuwa na nafasi ya kumlea mwanae katika maadili, lakini angalia maneno mama anayozungumza na mwanae et kamuulize baba yako aliyenipa mbegu, unataka mtoto ajibu nini hapo ili hali yeye hausiki na hizo mbegu wala hakuwepo wakati wanapeana hizo mbegu