HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
Wewe ni baba mwenye watoto watatu, siku moja ukiwa unaenda kazini njiani ukapata ajali, watu wema wakakupeleka hospital.
Unapata fahamu unajikuta upo hospital ukiwa juu ya kitanda wakati unajiuliza kimetokea nini daktari anakuja kuendeleza huduma, Ukamuuliza daktar kilichotokea kwako akasema ulipata ajali na ukaletwa hapa.
Bahati nzuri hujapata majeraha mengi japo sehemu iliyopata matatizo ni kwenye kiuno, Pia kutokana na vipimo vinasema huwezi kumpatia ujauzito msichana yeyote na chanzo cha tatizo hilo si ajali hii, ispokuwa ulizaliwa hivyo .
Unarudi nyumbani unamuuliza mke wako anajibu ndio alitoka nje ya ndoa kwa sababu anampenda mume wake na ndoa yake pia na akijua muda mrefu kama mumewe hana uzazi na mumewe alikuwa anahitaji mtoto sana.
Je wewe kama ndio huyu jamaa unafanyaje ?