Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,596
- 65,046
Nani mwenye huu ujasiri?
ha ha ha vipi mkuu,unaweza hiyo?Duuh
Sina hakika,ngozi nyeupe ni tofauti na nyeusiEdit hyoo
yes bishoo haswaaa
Hatari sana hiyoha ha ha vipi mkuu,unaweza hiyo?
Ni kweli,ni kuhatarisha maisha.Hatari sana hiyo
Juu ya mnara wa chuma
ha ha ha ha, unaweza hiyo?
Jaribu tukuone...
ha ha ha ha, unaweza hiyo?
ha ha ha ha acha wazungu wabaki kuwa wazungu tu.Wakandarasi wetu siwaamini kwenye kwenye maujenzi marefu ya hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha vitu jasiri vinafanywa na watu jasirianabeep kifo
thanks to god the almighty