Nani mwenye hizi nyimbo?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,851
Reaction score
95,051
Umofia kwenu wana JF,

Nazitafuta hizi nyimbo sana bila mafanikio,mwenye nazo please naomba azi-attach hapa.

1:Bichuka-Si wazuri Binadamu.
2😛atrick Balisidya-Wema Hawana Maisha.

-Ninamshukuru mungu hasiye mshirikina kuiponya roho yangu dhidi ya wenye hasira za kuku si wazuri binadamu.

-Lumumba kauawa,moringe kauawa,wema hawana maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…