sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 868
jamaa; kaingia msikitini na panga lililonolewa likanoleka, akawauliza waumuni waliokuwa wanangoja muda wa swala
waumini; kimyaaaa
jamaa; ...kwa kufoka nauliza nani muislamu hapa eboooo....!! hamnisikiii.....?
wauminii; kila mtu akiwa na hofu anamuangalia mwenzake.
Jamaa; akaingia ndani akamnyanyua mmoja na kutoka naye nje...... huko nje alikuwa na mbuzi wake anataka achinjiwe, akamuambia jamaa, nichinjie mbuzi wangu. muumini kwa hofu kubwa akamchinja mbuzi, kisha akwamwambia jamaa mzee mi kuchuna sijui nenda kamtafute mtu mwingine, ile jamaa kumpa kisogo tu jamaa akatoka nduki, jamaa moja kwa moja hadi msikitini tena huku panga mkononi na damu limetapakaa
jamaa; nani muislamu humu...? na panga mkononi huku likiwa na damu
waumini; kimyaaaaaaaa
jamaaa; nauliza tena nani muislamu humu.....?
waumini kwa hofu kubwa, wakamnyooshea kidole sheikh wao , ni yule pale mbele
sheikh; aka mi sio muislamu kukaa hapa mbele tu ndo mnaniita muislamu akaa
CHEVEA KIFO WEYE...........!!!!