Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,954
- 134,034
Yanga imelambwa
Pole najuwa na ww ni shabiki wa yebo yebo pole kwa kufungwa
Yanga imelambwa
Huyo refa nimempenda bure, kuna mtu ana taarifa zake kama yuko single tuangalie uwezekano?
Nitake radhi tafadhali.....
mashabiki wenzangu wa Yanga nipeni matokeo
asante sijui kama wana online stream hawa
everlenk
Mbuyu twite hamna kitu analipwa mshahara wa bure kabisa!
pole sana mkuu