Nani mmiliki wa Habari Leo?

Nani mmiliki wa Habari Leo?

Kwa nini hujiulizi MwanaHalisi ni la nani? Kuwa neutral.

Na wewe anzisha uzi wako , tutachangia. Jamaa kauliza juu ya gazeti la Habari leo, wewe unaingiza mambo ya Mwana halisi.

Kama huna cha kuchangia si upite tu.
 
Habari leo ni gazeti la serikali lakini kama ilivyo kwa vyombo vingine vya serikali limegeuzwa kuwa la chama cha mapinduzi.
 
ni sawa lakini kuiweka dar peke yake inaumiza watanzania wengine especially wale waliomaliza llb kutoka mikoani pia inawabagua watanzania kwani bodi ya mkopo haihusiki huko na wengi hatuna uwezo wa kujisomesha

Tanzania daima inamilikiwa na free media.
 
Back
Top Bottom