Nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa akiishi Dr.Slaa?

ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria watu wakiwa kimya usidhani hawajui labda wanasubiri mda mwafaka wa kuyasema

NO STONE SHALL REMAIN ON THE OTHER WHATEVER IS COVERED SHALL BE UNCOVERED& WHATEVER IS HIDDEN SHALL BE REVEALED

Watu wamelala humu kaka,ngoja after uchaguzi waombe matumizi ya michango yao.Abracadabra.
 
Vipi mbona kampeni zenu zimepooza sana?

itabidi tumuulize huyu ba mchawi ambaye pia ni mlinzi mkuu wa Kikwete:

Sheikh-Yahya.JPG
 
Nadhani nyote mnafahamu kwamba jamaa aliwahi kusema kawekewa vinasa sauti kule hotel 56 Dodoma.Nilitaka kufahamu nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa anaishi Dr.Slaa na Josephine na watoto wao wawili.Hii itatusaidia kujua kwa nini ndugu yetu huyu alipaamini sana na kuamua kukaa pale na "familia" yake hiyo.

Mbona hujauliza nani mmiliki wa Hotel 56 alikokuwa anakaa huko dodoma???
 
Naulizia hizo Apartments,am being specific kwa sasa.Kama jibu la swali lako unalo unaweza kutupatia kwa ajili ya kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom