Hongera poti, mi nashindwa kufyatua kwa sababu njaa inafanya mzee asinyanyuke, nakuonea here sanaHii post imekaa kichochezi....teh teh teh!!!!!!
Mimi Niko bize nafyatua watoto serikali itawasomesha bure......
house NDP ukweli uambiwe Mara ngapi?? wamefilisi nchi, na bado walipora ushindi wa ukawa na bado wang'ang'ania madaraka hali inavyozidi kuwa ngumu IPO Siku watakubali yaishe tu, hii yote in mipango ya munguili watu wake wajue hila na dhuluma wayofanyiwa na CCMKama tumefilisika si tuambiwe basi.
hayo si matatizo yanayo lalamikiwa.Umeandika upande nusu nusu, ulitakiwa pia uandike deni la taifa na malipo yanayofanyika kila mwezi kulipia deni hilo, malipo kwa ajili ya elimu bure na ununuzi wa ndege mpya.