Nani mkweli hapa?

Nani mkweli hapa?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
13233029_1590768097881921_7440964151336377693_n-jpg.360620
 
hicho kijamaa kwenye kona ya chini upande wa kulia
 
hicho kijamaa kwenye kona ya chini upande wa kulia
Njaa zimewabadili, wote hao sasa ni wafuta viatu vya Lowassa. Sipati picha wakiingia Ikulu kama pesa za mtu mmoja zimewadhalilisha hivyi, pesa za Umma si wangeogelea kabisa.
 
Uchaguzi ulishaisha mkuu, na kama ajira yako ni propaganda basi jikite kwnye siasa zenye tija na maendeloeo kwa jamii, sio kujadili watu nani kasema nini, tena kwa kitambo kirefu kilichopita!
 
Tafuteni na za B Malisa kipindi anamchamba Lowasa akiwa CCM
 
Njaa mbaya sana. Walisahau kuweka maneno ya akiba. Mie sijui ata kwenye majukwaa wanajitapa vipi. Eti mtu mlietuaminisha kuwa ni fisadi kuu mlimsafisha [emoji15] [emoji15] kanakwamba nyie ni sabuni.
Upinzani Tanzania wanasafari ndefu sana
 
Wanaoita kama hawaoni vile.....wakiona ni povuuuu
 
Yaan ukawa hata wamuweke BRAZA K,ntampigia kura........ccm siwez kuwapigia kula hata wakimuweka BABA/MAMA YANGU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom